Mwanamuziki Diamond Platnumz ameiomba Serikali kutengeneza Arena kwa ajili ya matamasha ma-kubwa ya muziki kama Trace.
UKIWA shabiki wa Simba utakuwa unashangilia mabao anayotupia kinara wa mabao wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua lakini kule ...
SIMBA inajiandaa kulihama jiji la Dar es Salaam ili kwenda Arusha kuvaana na Coastal Union kabla ya kurejea kujiwinda dhidi ...
KAMA unafikiria mambo ni mazuri kwa makipa, basi elewa kwamba kuna mambo yanayoendelea viwanjani ambayo yamewagusa katika timu, huku mechi za Ligi Kuu Bara zikibakia takriban tisa ili ...
PALE Yanga kuna mastaa kibao wanaowaka kwa sasa wakipambana kulisaka taji la nne mfululizo la Ligi Kuu Bara msimu huu, huku ...
MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili ...
BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka ...
OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema kutegemea kamati ya waamuzi bado ni tatizo tofauti na mataifa mengine yaliyoendelea, wakati akichangia mjadala unaohusu, ...
MANCHESTER United italazimika kulipa fidia ya Pauni 12 milioni endapo kama itaamua kumfuta kazi kocha Ruben Amorim mwishoni ...
MASHABIKI wa Chelsea wametoa mpya baada ya kubeba mabango yaliyoandikwa “Sisi sio Arsenal” wakati walipoandamana nje ya ...
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anasema anaamini kila mchezaji wa timu hiyo anapaswa kufikia kwenye viwango vya supastaa ...
GWIJI wa Arsenal, Ian Wright amefichua wasiwasi wake juu ya mastaa watatu wa timu hiyo kwamba hawatasaini mikataba mipya - ...